Majadiliano ya mtumiaji:Mgaza msonde
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 2 iliyopita by 197.250.197.196 in topic Nini na wapi #kwedibangala?
KIJIJI CHA KWEDIBANGALA
[hariri chanzo]KWEDIBANGALA ni kijij kinachopatika kaskazini mwa nchi ya Tanzania, KIJIJI hichi kipo katika wilaya ya Handeni ,tarafa ya Sindeni na Kata ya KIVA, mkoani TANGA , Kijiji hichi kinapakana na Kijiji Cha Zavuza Kwa upande wa Mashariki, na kinapakana na Kijiji Cha #Kwa_mngodi upande wa magharibi, Kijiji hichi kina kadiliwa kuwa na watu zaidi ya elfu mbili na mia Saba (2700) Kwa sensa ya mwaka 2022, Mgaza msonde (majadiliano) 20:54, 22 Februari 2023 (UTC)
Nini na wapi #kwedibangala?
[hariri chanzo]Kwa anae jua nini na ni wapi atujuze 197.250.197.196 18:49, 22 Desemba 2023 (UTC)