Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Maryam Saleh Abeid

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 2 iliyopita by Maryam Saleh Abeid in topic Namna ya kuweka "reference"

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Czeus25 Masele (majadiliano) 07:02, 10 Julai 2025 (UTC)Reply

Tanbihi

[hariri chanzo]

Usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.~2025-18135-3 (talk) 11:58, 12 Julai 2025 (UTC)Reply

PLAIN ENGLISH: stop putting wikipedia.org wikimedia.org things into references, it is against w:en:WP:CIRCULAR. ~2025-18858-2 (talk) 19:02, 13 Julai 2025 (UTC)Reply

You are forbidden from above things, see w:en:Wikipedia:Don't cite Wikipedia on Wikipedia. ~2025-20380-3 (talk) 09:09, 16 Julai 2025 (UTC)Reply

Madondoo kutoka Wikipedia hayakubaliki kamwe! Wflgf (majadiliano) 08:16, 19 Julai 2025 (UTC)Reply

Makala bila vyanzo na Tafsiri za Kompyuta

[hariri chanzo]

Ndugu, ahsante kwa juhudi za michango yako kwenye Wikipedia ya Kiswahili, naomba uzingatie taratibu za uhariri/ uanzishaji makala mpya. 1. Makala zinafaa kuwa na vyanzo 2. Makala ziandikwe bila tafsiri ya mashine au la makala hizo zitafutwa na utapewa zuio la kuendelea na kuhariri. Ahsante Czeus25 Masele (majadiliano) 09:40, 23 Julai 2025 (UTC)Reply

Kuzuiwa kwa muda

[hariri chanzo]

Dada, imenibidi kukuzuia kwa siku 3 ili uzingatie maelekezo unayopewa na watu mbalimbali. Pole na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:29, 23 Julai 2025 (UTC)Reply

🍌. Aishwaryam Saleh Abeid (majadiliano) 16:33, 28 Julai 2025 (UTC)Reply

@Riccardo Riccioni: ZERO reaction to BLOCK for 3 days, w:en:WP:CIRCULAR STILL disdained. ~2025-30069-3 (talk) 14:18, 30 Julai 2025 (UTC)Reply

@Riccardo Riccioni: ZERO reaction to BLOCK for 1 month, w:en:WP:CIRCULAR STILL disdained.

REPEATED OFFENSE. Lupinga Nyinga (majadiliano) 10:24, 9 Oktoba 2025 (UTC)Reply

Namna ya kuweka "reference"

[hariri chanzo]

Habari Maryam, naomba nikuelezee kwa urahisi kawanini kuna tatizo katika uandishi wako, sasa ni hivi, ukishamaliza ku "edit" makala yako n unataka kweka "link" ya "reference" au "source" hakikisha ile "link" haikurudishi tena kwenye wikipedia au mradi wowote wa wikimedia, kwahio hakikisha kuwa kile kiungo ama "link" kinaenda nje ya wikipedia kwenye "cite" nyingine.

Husseyn Issa (majadiliano) 10:51, 9 Oktoba 2025 (UTC)Reply

Thanks now nimeelewa ntajirekebisha Maryam Saleh Abeid (majadiliano) 09:47, 30 Novemba 2025 (UTC)Reply

edit = hariri, link = kuelekeza, reference = marejeo, source = vyanzo, cite = nukuu ~2025-28209-91 (talk) 11:10, 9 Oktoba 2025 (UTC)Reply