Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/Watanzania

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Angalia, mara nyingine watu wana kurasa zao, ila majina yameandikwa tofauti. Niliwahi kuingiza majina yote ya Watanzania wenye kurasa za Kiswahili katika orodha ya Watanzania maarufu. Baada ya hapo yameandikwa kurasa mpya, ila si nyingi: hizo hazimo katika orodha ile. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:15, 10 Desemba 2019 (UTC)[jibu]