Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Judith mzurikwao

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 12 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Dada Juddy, hujambo? Karibu katika Wikipedia ya Kiswahili. Naona umeanza kuandika makala kuhusu wewe mwenyewe. Sio mbaya, lakini mbona umeandika Kiingereza? Hapa ni Wikipedia ya Kiswahili, inatakiwa mambo yaenda kwa lugha ya Kiswahili! Unaonaje labda ukianza upya na kusawazisha makala ile inayokuhusu? Kisha tuone tunafanyaje katika hili. Wako Muddyb au,--MwanaharakatiLonga 06:55, 8 Mei 2013 (UTC)Reply