Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:JANETH JOHN LUTENGANO

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Czeus25 Masele (majadiliano) Czeus25 Masele (majadiliano) 04:48, 24 Juni 2025 (UTC)Reply

Ufutaji wa Makala: understandable way to open source technology

[hariri chanzo]

Habari, Nimefuta Makala kwa sababu imekiuka kanuni za kiuandishi. 1. Jina la Makala ni understandable way to open source technology, hii ni wikipedia ya kiswahili, jina la makala na matini ndani ya makala inapaswa kuwa kiswahili. Pendekezo: Pitia upya kanuni za uandishi na anza kuandika na kuboresha makala kwenye ukurasa wako wa majaribio kabla ya kuchapisha makala.

Amani kwako! Czeus25 Masele (majadiliano) 11:44, 25 Juni 2025 (UTC)Reply

Ndugu, kuna pendekezo la kuifuta tena makala hii, naomba urejee hapo juu namna za uandishi wa makala za wikipedia na kisha uiboreshe makala kabla ya kuichapisha, unaweza kuendelea kuiboresha makala katika sanduku lako la majaribio (Sandbox). Amani kwako!Czeus25 Masele (majadiliano) 06:24, 26 Juni 2025 (UTC)Reply
samahani kanuni zote za uandishi wa makala nazipqta sehem gani?? Naitaji kuoboresha ili isifutwe maana ni kazi yangu ya kuikusanya samahani naomba nisaidie taarifa zaidi ~2025-82940 (talk) 07:19, 26 Juni 2025 (UTC)Reply
Dada, usikate tamaa. Endelea kuhariri pembeni ukurasa wako kwa kuzingatia yaliyomo katika bango la kukaribishwa la hapo juu. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:22, 26 Juni 2025 (UTC)Reply
Karibu Czeus25 Masele (majadiliano) 11:08, 26 Juni 2025 (UTC)Reply
Imefanyika. CLA 245 (majadiliano) 11:26, 26 Juni 2025 (UTC)Reply