Majadiliano ya mtumiaji:Iddi Machaku

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

nudugu Iddi, pamoja na kukukaribisha hapa naona umeleta mchango wako wa kwanza. Kwa bahati mbaya naona ya kwamba umenakili matini yake inayopatikana kwenye tovuti mbalimbali ya intaneti, Hii haikubaliki hapa kwenye wikipedia. Hata hivyo naona ya kwamba mada ni muhimu ningefurahi kuona makala hapa. Ukipenda kuchangia jaribu kusoma yale yaliyotajwa hapo juu kwenye sanduku ya "karibu". Ungeweza pia kuangalia makala ya Kiingereza hapo na kuitafsiri kisehemu au kabisa. Ningefurahi kama unarudi kuchangia katika mada kuhusu Uislamu kwa kuzingatia kanuni za wikipedia. Makala yako inapata sasa alama ya "Futa" kwa sababu matino yote imenakiliwa, Hii inakupa nafasi ya kuisahihisha katika siku zinazokuja au kutetea haikunakiliwa. Ukiwa na swali, uliza tu Kipala (majadiliano) 13:21, 26 Oktoba 2016 (UTC)[jibu]


Asante kwa makala hii ambayo ni muhimu maana tuna wasomaji wengi wanaoangalia makala ya isimu! Makala yako inajaza pengo. Ilhali bado uko mgeni, uniruhusu kushauri: ni vema kutotumia HERUFI KUBWA. Menginevyo: asante na karibu kuendelea! Kipala (majadiliano) 09:36, 7 Desemba 2016 (UTC)[jibu]

Habari, naona makalii hii Kitenzi si elekezi ulizotunga ni kama jibu kwa makala Kitenzi elekezi. Je ni kweli? Lakini hii si njia jinsi tunavyofanya kazi hapa. Ukiwa na maoni kuhusu makala tumia ukurasa wa majadiliano ya makala husika. Napeleka matini yake huko na kufuta makala yako.Kipala (majadiliano) 12:00, 26 Oktoba 2018 (UTC)[jibu]

Basi ibaki. Ulitumia tahajia mbaya hivyo sikulewa unamaanisha nini. Baada ya masahihisho ya Riccardo nimeelewa. Kipala (majadiliano) 12:05, 26 Oktoba 2018 (UTC)[jibu]