Majadiliano ya mtumiaji:Ibrahimu Mcharo
Ibrahimu Mcharo ni mtoto wa tano kati ya watoto watano wa Bwana Elibariki Elioth Mcharo na Bibi Lilian London Kamwanah. Ndugu zake ni Helen Mcharo, Samwel Mcharo, Paradiso Mcharo na Agnes Mcharo.
Ibrahimu ni Mkristo aliye mwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake.
Kwa sasa ni kiongozi na muhitimu wa shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) katika chuo kikuu cha Mt. Agustino (SAUT) Mwanza na kwa kipindi chote akiwa mwanafunzi, alikua ni mshiriki na kiongozi katika taasisi ya wanafunzi ya injili (TAFES - Tanzania Fellowship of Evangelical Students)
Alisoma katika shule ya sekondari ya juu (Mwakaleli Secondary school) mkoani Mbeya Tanzania. Elimu ya upili alisoma Kwapakacha Shule ya sekondari mkoani Dodoma Na elimu ya msingi Mpalangwi shule ya msingi mkoani Dodoma.