Majadiliano ya mtumiaji:IFIKHARY RASHID

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:03, 16 Januari 2021 (UTC)[jibu]

Mpendwa, naona ulifuta sehemu kubwa ya maudhui katika makala hii, pamoja na marejeo. Je, ulikuwa na sababu? Au ilikuwa ajali? Narejesha sasa hali ya awali, kama una nyongeza, tafadhali uongeze au ueleze kwa nini unataka kuondoa sehemu. Kipala (majadiliano) 19:13, 25 Januari 2021 (UTC)[jibu]

Basi nimeshaelewa, makala ilichanganya baba na mwana. Ingekuwa vema kama ungeweka maelezo mafupi. Kipala (majadiliano) 19:32, 25 Januari 2021 (UTC)[jibu]

Can you help me correct an article? Thank you![hariri chanzo]

Hello, @IFIKHARY RASHID:! I wrote an article on Andrea Benetti, a well-known Italian artist https://en.wikipedia.org/wiki/Andrea_Benetti_(artist). I used the automatic translator to make a draft https://sw.wikipedia.org/wiki/Mtumiaji:BarbaraLuciano13 . Could you help me correct the text and add the infobox with the photo at the beginning and the categories at the bottom? Unfortunately I don't know the language and I am not able to do it ... Thanks for what you can do, see you soon, --BarbaraLuciano13 (majadiliano) 09:11, 19 Juni 2021 (UTC)[jibu]


Picha ya Mkoa wa Dodoma[hariri chanzo]

Salamu Ifkhari, hongera kwa kuendelea kuboresha makala za Wikipedia, katika makala yako ya mkoa wa Dodoma (Ipo hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Dodoma_(mji) umeongeza picha ambayo inaonyesha ramani ya Tanzania, lakini yenye maelezo yenye kuonyesha mkoa wa Dodoma, ni heri zaidi kutafuta picha itakayoonyesha ramani ya mkoa wa Dodoma peke yake, hii itasaidia hasa pale wengine watakapotaka kuutazama mkoa wa Dodoma na ramani yake, Amani sana Idd ninga (majadiliano)

Tafsiri ya kompyuta, onyo[hariri chanzo]

Kaka umemwaga matini kutoka tafsiri ya kompyuta kwenye makala Mto Goyt bila kuisahisha. Hii haitakiwi, umeonywa wakati tulipokukaribisha. Usirudie, unaweza ubanwa hapa. Kama Kiingereza chako hakitoshi kuelewa makala, uiache! Sasa nenda usafishe makala hiyo iwe Kiswahili kinachoeleweka. Kipala (majadiliano) 06:56, 15 Julai 2021 (UTC)[jibu]