Majadiliano ya mtumiaji:Felix mbepi
Weka madaSINAGOGI
[hariri chanzo]Sinagogi ni jengo lililotumika na wayahudi kama nyumba ya kuabudia, masinagogi yalikuwa mengi katika israeli, lakini kulikuwa na hekalu moja tu YERUSALEMU ambalo kila myahudi aliyekuwa mbali na mji huo alipaswa kwenda kuabudu kule wakati wa sikukuu za mwaka za wayahudi--Felix mbepi (majadiliano) 09:42, 19 Oktoba 2016 (UTC)
Nyamagala
[hariri chanzo]Ni Jina la kitongoji kinachopatikana Katika Kijiji Cha Itunduma, Kata ya Mtwango Katika wilaya ya Njombe Mkoani Njombe Felix mbepi (majadiliano) 16:07, 10 Oktoba 2019 (UTC)
Jesus is the only Way to Heaven
[hariri chanzo]JESUS is a Divine being in nature, He is the Son of God (JEHOVAH) but God the almighty he made him the Redeemer of all human kind from their Sinful nature, God transferred his life from heaven to the womb of a woman in Israel to be born as human being in Equivalent to ADAM but he was without sin, so he became a negotiator between human being and God the Father, and so any human being can come to God through accepting JESUS as his saviour, That is why JESUS is the Only way to Heaven
Keep Learning from our Page Felix mbepi (majadiliano) 16:18, 10 Oktoba 2019 (UTC)
DUNIA IMEHARIBIKA
[hariri chanzo]Ee Dunia Dunia !!!!!! Siandiki haya ili kuufurahisha Uma, wala mtu awaye Yote, Ila ukweli ni kwamba, NI NYAKATI ZA MWISHO Siku za Uovu wa waziwazi na Usio na HAYA,
Wanadamu SASA WAMEFIKA HAPA ๐๐๐๐ DUNIA HAPA NDIPO ILIPOFIKIA, KUFURU ZA HALI YA JUU... ๐พ Mwanaume anaweza akafanyiwa Upasuaji Na Kugeuzwa Viungo Vyake Vikawa Kama Vya Mwanamke, ๐๐ Tazama, Hili Tu Nimeliona... Mungu Amemfanya Mwanadamu Mnyoofu, Lakini Wamebuni Mavumbuzi Mengi... Muhubiri 7;29
๐พ USHOGA umekuwa FASHION kule mataifa ya Magharibi, Hili ni Donda ndugu, kuna wakati litaenea karibia kila Taifa Dunian Dear Saints -PRAY ๐พ IBADA ZA SANAMU sasa zimeingizwa hadi kwenye Nyumba tunaita za IBADA, LAKINI Kwa kivuli cha Alama za Kikristo
๐๐ผโโ๐๐ผโโ๐๐ผโโ ๐พ INJILI Sasa Imekuwa LANGO LA BIASHARA na Kujitafutia Umaarufu, ๐๐ผโโ๐๐ผโโ๐๐ผโโ
Ole wa Dunia, Upanga wa BWANA umechanua ๐๐๐๐๐
BWANA, Uwawekee Kitisho Mataifa, Na Wajijue Kuwa Ni Binadamu
Zaburi 9;20
Dear SAINTS *Yachunguzeni Maandiko* Si Kwa Lengo la kujitakia utajiri na Mali, Bali Mjue NYAKATI NA MAJIRA na kisha Mnayopaswa kufanya kwajili ya BWANA๐๐
๐๐๐๐๐๐๐
Lakini Wewe, Ee Daniel, Yafunge Maneno Haya Ukakitie Muhuri Kitabu, Hata Wakati Wa Mwisho, Wengi Wataenda Mbio Huko Na Huko, Na Maarifa Yataongezeka... Daniel 12;4
๐๐๐ZINGATIA HILI; Haya Yote Yanatokea Ili Unabii Utimie Maana Ni Mwisho Wa Nyakati... HERI AKESHAYE NA KUYAFUA MAVAZI YAKE, kujiweka Tayari Kwa ajili ya Majira, Nyakati, Siku Na SAA ile,
WAMBIENI WALIMWENGU HAYA
AMEN BY ENG, MP 2019 Felix mbepi (majadiliano) 10:04, 11 Oktoba 2019 (UTC)
WISDOM QUOTES
[hariri chanzo]1) Heri wao watafutao haki ya Mungu na kuitenda Siku Zote Maana haki yao haitawapotea Siku ya Hukumu ya Mwisho Ya MUNGU Felix mbepi (majadiliano) 10:08, 11 Oktoba 2019 (UTC)
VIFO VYA MITUME WA YESU
[hariri chanzo]Soma Hapa Mtume peke ambaye kifo chake kimeandikwa katika Biblia ni Yakobo (Matendo Ya Mitume 12:2), Mfalme Herode alimweka Yakobo โafe kwa kisu,โ kuna uwezekano kuwa alikatwa kichwa. Hali ya kifo cha mitume wengine zimehusiana kutokana na historia ya Kanisa, kwa hivyo tusiweke uzito mwingi kwa tukio lo lote, Katika historia ya Kanisa ya imekubalika kuhusiana na kifo cha mitume ni kuwa;
=Mtume Petro alisulubiwa kichwa chake kikiangalia chini kwa msalaba wa umbo la X huko Rumi kwa kutimiza unabii wa YESU (Yohana 21:18), Ifuatayo ni historia inazojulikana sana kuhusu kifo cha Mitume wengine kulingana na historia ya kabisa;
=Mtume Mathayo aliteseka kwa ajili ya injili huko Ethiopia, aliuawa na donda la kisu,
=Mtume Yohana alikumbana na mateso juu ya injili wakati alichomwa katika bakuli kubwa la mafuta yachomayo wakati wa uvumi wa mateso huko Rumi, Ingawa aliokolewa kimuujiza kutoka kwa kifo. Yohana alihukumiwa mateso katika kisiwa cha Patmo. Alikiandika kitabu chake cha unabii cha Ufunuo huko Patmo, Mtume Yohana baadaye alifunguliwa na akarudishwa nchi hii leo yaitwa Uturuki. Alikufa akiwa mzee, Ni Mtume pekee aliyekufa kifo cha kawaida,
=Yakobo, nduguye YESU (si mtume halisi), alikuwa kiongozi wa Kanisa huko Yerusalemu. Alitupwa kutoka mnara wa juu sana wa Kusini-Mashariki wa Hekalu (takribani futi mia moja kwenda chini) wakati alikataa kumkana KRISTO, Wakati waligundua kwamba ameponea mwanguko huo, maadui wake walimpiga Yakobo kwa rungu hadi akafa, Hii imetuhumiwa kuwa mnara ambao Shetani alikuwa amempeleka YESU wakati wa majaribu baada ya kubatizwa,
=Bartholomayo, ambaye anaitwa Nathanaeli, alikuwa mmisionari huko Asia. Alishuhudia sehemu ambayo sasa inaitwa Uturuki na akauawa kwa sababu ya kuhubiri injili huko Armenia, kwa kupigwa hadi kifo na kijiti,
=Andrea alisulubiwa kwa msalaba wa umbo la X huko Ugiriki, Baada ya kuchapwa kwa fimbo mara nyingi na walinzi saba, waliufunga mwili wake kwa msalaba kurefusha machungu yake, Wafuasi wake wakaripoti kuwa wakati aliongozwa kuelekea kwenye msalaba, Andrea akawapungia mkono wafuasi wake kwa maneno yafuatayo, โkwa muda mrefu nimengoja na kutamani saa kama hii ya furaha, Msalaba umekwisha takaswa kwa mwili wa KRISTO ulioangikwa juu yake.โ Aliendelea kuwahubiria watesi wake kwa siku mbili hadi wakati alikufa,
= Mtume Tomaso alichomelewa mkuki huko India wakati wa mojawapo ya safari zake kama mmisionari alipokuwa akilianzisha Kanisa huko,
=Matia, mtume aliyechaguliwa kuchukua nafasi ya Yuda Iskariote, alipigwa mawe na kichwa chake kukatwa,
=Mtume Pauo aliteswa na baadaye kichwa chake kikakatwa na mfalme mwovu Nero huko Rumi katika mwaka wa A.D 67,
Si muhimu sana ni namna gani mitume walikufa, Cha maana ni kuwa walikuwa tayari kufa kwa sababu ya Imani yao, Ikiwa YESU hakuwa amefufuka, mitume wangejua hivyo. Watu hawatakufa kwa kitu wanakijua kuwa uongo, Hoja kwamba mitume wote walikuwa tayari kufa kifo kibaya, walikataa kuikana Imani katika KRISTO ni uthibitisho mkubwa kuwa kwa kweli walishuhudia ufufuo wa YESU KRISTO, MUNGU akubariki Felix mbepi (majadiliano) 05:12, 18 Oktoba 2019 (UTC)