Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Elizabeth Samwel

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 2 iliyopita by Elizabeth Samwel in topic Viungo vya ndani (Inner links) kwenye makala

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Czeus25 Masele (majadiliano) Czeus25 Masele (majadiliano) 06:03, 9 Julai 2025 (UTC)Reply

Asante sana kwa muongozo huu Elizabeth Samwel (majadiliano) 19:15, 9 Julai 2025 (UTC)Reply

Viungo vya ndani (Inner links) kwenye makala

[hariri chanzo]

Habari ndugu,

Pongezi kwa juhudi zako za kujitoletea katika kufanya uhariri wa makala. Ni katika hali ya kuelimishana na kukumbushana.

Ukiwa unafanya uhariri wa kuongeza viungo vya ndani (Inner links) katika neno fulani kwenye makala basi hufanyika mara tu hata kama neno hilo limejirudia mara nyingi nyingi. Mfano labda neno "Utamaduni" ukiweka linki kwenye hili neno mara moja inatosha hata kama lijirudie mara nyingi kwenye makala hiyo moja.

Amani kwako! Anuary Rajabu (majadiliano) 13:35, 17 Julai 2025 (UTC)Reply

sawa nimeelewa, haina shida Elizabeth Samwel (majadiliano) 13:52, 17 Julai 2025 (UTC)Reply
Ndugu!, usiongeze viungo vya marejeo chini ya neno marejeo, ongeza viungo hivyo mwishoni mwa sentensi inayoendana na marejeo hayo na viungo vitakuja vyenyewe chini baada ya kuchapisha. kumbuka kuongeza Reflist ikiwa ndani ya mabano {{}} chini ya neno marejeo Czeus25 Masele (majadiliano) 05:42, 23 Septemba 2025 (UTC)Reply
Sawa Asante kwa muongozo Elizabeth Samwel (majadiliano) 05:55, 23 Septemba 2025 (UTC)Reply
Au hata ukitumia neno: {{marejeo}} ni sawa pia utapata matokeo yaleyale. MuddybLonga 08:31, 23 Septemba 2025 (UTC)Reply
Tafadhali, dada, usiondoe mabango tunayoweka sisi viongozi katika makala ili kuhimiza ziboreshwe. Kwa mfano umeondoa {{tafsiri kompyuta}} katika ukurasa juu ya Uhandisi wa madini wakati bado unahitaji kuwekwa sawa. Asante kwa kunielewa na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:58, 28 Septemba 2025 (UTC)Reply
Oooh sawa nimeelewa samahani kwa hilo, sikujua kama linawekwa na viongozi Elizabeth Samwel (majadiliano) 11:28, 28 Septemba 2025 (UTC)Reply