Majadiliano ya mtumiaji:Charles Silas Bukwaya
Weka madaKaribu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
- usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
- do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Kufuta ukurasa
[hariri chanzo]Kweli anastahili ukurasa? Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:09, 4 Julai 2025 (UTC)
- I don't know if this deserves article or not, but if you DELETE, always do it for REAL, without roleplaying NON-admin. Saddam m mmbaga (majadiliano) 14:12, 4 Julai 2025 (UTC)
- "{ {Futa} }" template is nothing but garbage. It even does not support { {delete|reason} } format. ~2025-129342 (talk) 14:25, 4 Julai 2025 (UTC)
- Compare template:futa with much better template:db-meta. Code from template:db-meta should land inside template:futa. Saddam m mmbaga (majadiliano) 14:28, 4 Julai 2025 (UTC)
- Najua kwamba naweza kufuta ukurasa, lakini napenda kwanza kushirikisha wengine. Amani kwenu! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:41, 4 Julai 2025 (UTC)
- Template showing page inside category:Makala kwa ufutaji is useful ONLY for non-administrators, since administrators are capable of DELETION itself. For complaining about page content, there are OTHER templates. Saddam m mmbaga (majadiliano) 14:49, 4 Julai 2025 (UTC)
- To enable { {futa|reason} } format, R.R. PLEASE copy code from modernized template:db-meta to obsolete template:futa, since { {futa|reason} } format is NON-working at all. Saddam m mmbaga (majadiliano) 14:52, 4 Julai 2025 (UTC)
@Riccardo Riccioni Safari hii, tufute makala na anayerudia kuindika kila wakati. Ni usumbufu usiokuwa na tija. MuddybLonga 16:20, 4 Julai 2025 (UTC)
- I only moved this article to prevent special:contribs/Charles_S._Bukwaya from having it even as PAST REVISION. Delete this now please! Saddam m mmbaga (majadiliano) 16:38, 4 Julai 2025 (UTC)
- I am NOT copying this article, I only moved it away from offender's page to have it deleted FOR SURE! Saddam m mmbaga (majadiliano) 16:50, 4 Julai 2025 (UTC)
- @Muddyb @Riccardo Riccioni hata mimi pia sijaona umuhimu wa hio makala.Husseyn Issa (majadiliano) 17:43, 4 Julai 2025 (UTC)