Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:ALBERT S ISHENGOMA

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 10 iliyopita by Kipala in topic Taya...

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 20:01, 15 Juni 2015 (UTC)Reply


Taya...

[hariri chanzo]

Ndugu Albert, asante kwa jaribio lako la kwanza kwa kuchangia "Taya la mamba". NAtumaini ya kwamba utaendelea kuchangia. Ila tu kazi hii inahitaji uzoefu kidogo na mwanzoni marudio na masahihisho. Unaweza kuona kwenye ukurasa ya Majadiliano:TAYA LA MAMBA maoni kuhusu kasoro kadhaa ya majaribio yako ya kwanza. Naomba usikate tamaa bali kutafakari namna gani kuendelea. Makala haina maelezo juu ya "taya la mamba" bali juu ya uwezo wake wa kugn'ata na huhusu neva mdomoni mwake. Labda utapenda kuongeza habari hizi katika makala ya Mamba_(mnyama); habari za uwezo wa kung'ata zipo, kuhusu neva bado. Menginevyo ungeweza kuunda makala ya kulinganisha uewzo wa kung'ata wa waynama mbalimbali kwa kutumia en:Bite_force_quotient na en:Bite. Ukipenda ushauri, uniandikie tu! Kipala (majadiliano) 12:35, 16 Juni 2015 (UTC)Reply