Majadiliano ya mtumiaji:81.189.42.173

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

http://sw.wikipedia.org/wiki/Lugha_iliyotengenezwa Je ni Kiswahili sanifu "lugha iliyotengenezwa" ?? Kamusi ya TUKI ina makala fupi kuhusu Esperanto: "Esperanto -(lugha bandia iliyoundwa kutumiwa na watu wote duniani). Hata usipopenda "Lugha Bandia" (mimi nisingeitumia - ina ladha ya "lugha ya uwongo") heri utumie "lugha ya kuundwa" --Kipala 21:24, 27 Februari 2006 (UTC)[jibu]


Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 

Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.