Majadiliano ya mtumiaji:41.222.180.126

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

mimi naitwa alhaji bakari nilitaka kujua mana babu yangu kapigana vita ya pili ya dunia na hajapata mafao yake bali ameacha kumbukumbu ya barua inayo elezea mwanzo wa kujiunga na jeshi mpaka mwisho wa vita ya pili ya dunia mzee mathias ngulukila alijiunga na jeshi tarehe 6/juni/1940/wilaya ya songea mkoa wa ruvuma namba yake ni 202919 kijiji alicho tokea ni mapera litapwasi songea baada ya hapo alipelekwa kwenye mafunzo ya awali moshi kwa muda wa miezi 6 baada ya kumaliza mafunzo alipelekwa nairobi na kupelekwa somalia katika mji wa mogadishu ambao ulikua ukitwa british somaliland baadae alipelekwa burma india mwaka 1943 alipigana huko hadi mwaka 1946 vita ilipokwisha alirudi hapa nchini na kuacha jeshi discharged baada kwisha vita alirudishwa nyumbani songea ambako alipewa kazi nyingine baada ya kuripoti kwa dc alipelekwa kujifunza mambo ya kilimo agriculture kama bwana shamba alifanya kazi mbali mbali katika vijiji vya songea mwisho wa kunukuu .babu alifariki mwaka 1996 hapa dar es salamu kinyerezi tulimzika makaburi ya kinondoni na siku zote hatujawahi kuona barua aliyo acha hivyo ndiyo tumeiyona na tunahitaji msaada wa kupata mafao yake wenu katka kujenga taifa alhaji bakari simu +255 718 77 22 20'

Faili:Mathias ngulukila

(ni yaliyomo ya makala Mathias ngulukila iliyoanzishwa na mtumiaji:41.222.180.126 . Inaonekana kwa kosa maana matini ni kama ukurasa wa mtumiaji haiwezi kubaki kati ya makala ya kamusi) --Kipala (majadiliano) 07:49, 25 Februari 2015 (UTC)[jibu]


Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 

Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.