Majadiliano ya mtumiaji:173.11.197.101
Weka madaSalaam! Ukitaka kuchangia kwa kamusi elezo hiyo itafaa kujiandikisha. Pia, uongeze habari zifaazo kwa kamusi. Makala kama uliyoiandika kuhusu mtu fulani kwa jina la Talma au Taaluma huko Kanada, lazima nimeifuta. Asante! - Hi! If you'd like to contribute to this encyclopedia, it would help if you registered. Also, please only add information suitable for an encyclopedia. Your article about someone in Canada called Talma or Taaluma had to be deleted. Thanks! --Baba Tabita (majadiliano) 06:15, 29 Oktoba 2010 (UTC)
Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii.
Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.