Majadiliano ya msaada:Maana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

KICHEKO! Sasa naona mzee wangu umeamua kutengeneza umbo zima la mwongozo wa Wikipedia yetu! Ni furaha yangu kuona nasi tunakuwa kama hao wengine! Jamani, natamani na mimi niweze kufanya hivyo, lakini siku hizi nimepatikana kweli-kweli. Yaani, nina lundo la mikazi - kiasi kwamba hata kujigawa nashindwa. Si kitu. Nitajitahidi hivyo-hivyo! Pongezi tena, mzee wangu!--Muddyb MwanaharakatiLonga 06:10, 10 Desemba 2009 (UTC)

Sikuihitaji nilipoandika mwenyewe makala zote wala hatujahitaji ulipoingia wewe maana tuliweza kuwasiliana moja kwa moja. Ila tu sasa hawa watu wengi... Nimeona mara nyingi hatuwezi kutafsiri moja kwa moja maana maelezo huko en: yamekuwa magumu. Najaribu kutumia lugha nyepesi. - Sijui muda kwangu namna gani, wikendi hii naingia shughuli mpya tutaona. --Kipala (majadiliano) 07:12, 10 Desemba 2009 (UTC)
Basi natumai utaweza kama ulivyoweza sasa! Nami, sasa nimefikiria kubadili mfumo wa utendaji wangu angalau kuongeza namba ya makala katika Wikipedia yetu! Tukaze buti.--Muddyb MwanaharakatiLonga 07:56, 10 Desemba 2009 (UTC)