Majadiliano ya kigezo:Mto

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Templeti hii inawezesha kutenga sanduku la habari za mto, kama ile katika makala ya Elbe.

Templeti hii ina sehemu zinazofuata:

  • jina (jina la mto; liwe sawa na jina la makala)
  • picha
  • maelezo_ya_picha
  • chanzo (taja eneo la chanzo cha mto)
  • mlango (taja jina la bahari ambapo upo mlango wa mto)
  • nchi (taja nchi zote ambazo mto unazipita)
  • urefu (urefu wa mto)
  • kimo (kimo cha chanzo cha mto)
  • mkondo (kiasi cha maji yanayopita mtoni kila sekunde)
  • eneo (kiasi cha eneo la bwawa)

Lazima uzitumie sehemu zote. Lazima utumie herufi ndogo. Angalia mfano wa Elbe.


Mto wa JINA
Chanzo MAHALI PA CHANZO
Nchi NCHI
Urefu UREFU km
Kimo cha chanzo KIMO m
Mkondo KIASI CHA MAJI m³/s
Eneo la beseni ENEO km²