Majadiliano ya kigezo:Infobox Hurricane
Category 5 Hurricane (Saffir-Simpson Hurricane Scale) | ||
---|---|---|
Hurricane Katrina at its strongest strength on August 28, 2005 | ||
Kimeanza | 23 Agosti, 2005 | |
Kimeisha | 31 Agosti, 2005 | |
Umbali upepo |
| |
Msukumo mdogo wa hewa | 902 mbar (hPa; 26.65 inHg) | |
Vifo | Jumla 1,836 | |
Hasara | $Expression error: Unrecognized punctuation character "{". ({{{Year}}} USD) $Expression error: Unrecognized punctuation character "{". (2006 USD) (Costliest Atlantic hurricane in history) | |
Eneo -lioatirika |
Bahamas, South Florida, Cuba, Louisiana (especially Greater New Orleans), Mississippi, Alabama, Florida Panhandle, most of eastern North America | |
Part of the 2005 Atlantic hurricane season |
Kimbunga cha Katrina kilikuwa kimbunga kikali ambacho kimesababisha hasara kubwa katika jiji la New Orleans, Louisiana huko nchini Marekani mnamo tar. 29 Agosti, 2005. Moja ya sehemu za jimbo la Mississippi na Alabama ziliharibiwa vibaya sana na mafuriko. Kilikuwa kimbunga chenye kugharimu na moja kati ya vimbunga vilivyoleta maafa makubwa katika historia ya nchi ya Marekani (kwa kutia hasara ya dola bilioni 84 za Kimarekani). Zaidi ya watu 1,800 waliuawa na dhoruba la kimbunga hiki, ikiwa watu 1,577 huko mjini Louisiana na wengine 238 huko mjini Mississippi. Hata hivyo, uharibifu wa mali mkubwa ulifanyika sana katika maeneo ya pwani ya Louisiana, Mississippi na Alabama, yaani, katika maeneo yote ya miji yenye fukwe, ambapo kimefurika maji zaidi ya 90% kwa masaa, maboti na mashua za kasino zote zilivamia majengo, kilisukuma magari na majumba kwenda nchi kavu, ikiwa na maji yaliyofikia maili 6–12 (10–19 km) kutoka ufukweni. Huko Alabama, boti kubwa-kubwa za uvuvi, meli ndogo, na machimbo ya mafuta yote yamekuja ufukweni, ikiwa nyumba zilizopo ufukweni na pwani zilifurikwa na maji yanayofikia kina cha 11-22 ft (3-6 m).
Start a discussion about Kigezo:Infobox Hurricane
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. You can use this page to start a discussion with others about how to improve Kigezo:Infobox Hurricane.