Majadiliano ya jamii:Wanawikipedia wa Kenya
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 8 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Jamii
Jamii
[hariri chanzo]Kwa nini lebo hii inasababisha jamii kuwekwa ndani ya jamii hiyohiyo kama katika mzunguko usio na maana? Yaani: jamii:Wanawikipedia wa Kenya badala ya jamii: Watu wa Kenya? Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:50, 21 Mei 2025 (UTC)