Majadiliano ya jamii:Vilabu vya mpira Tanzania

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vilabu vya mpira Tanzania it is not appropriate translation. Vilabu vya mpira wa miguu nchini Tanzania is the good one. Thus the category should be moved.--MwanaharakatiLonga 17:02, 16 Julai 2010 (UTC) [jibu]

kuboresha makala ya vilabu mpira vya tanzania[hariri chanzo]

katika jamii hii kuna timu za mpir chache sana, kwa sasa vilabu vipo vingi mno, kwa kua mimi kama mimi sina uwezo wa kuongeza idadi ya timu hizo kwenye jamii hii, ningeomba mwenye uwezo asaidie kuongeza hizo timu, kwa kuangalia mara ya mwisho jamii hii kuhaririwa ilikua mwaka 2010.