Majadiliano ya jamii:Orodha ya maeneo kwa Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 10 iliyopita by Gayle157 in topic Vichwa
Vichwa
[hariri chanzo]Kuna orodha 4, kila moja kichwa kina namna tofauti! Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:35, 11 Aprili 2025 (UTC)
- Sijaelewa,
- Anyway this category consists of "list of Countries or Sub Regions or provinces by HDI" even enwiki has it, AguahrzChronist2.0(Mtumiaji) 05:55, 12 Aprili 2025 (UTC)
- Pole. Ni hivi:
- Orodha ya kaunti za Kenya kulingana na Kiashiria cha maendeleo ya watu
- Orodha ya nchi za Afrika kwa Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu
- Orodha ya nchi za Afrika Mashariki kulingana na Maendeleo ya Binadamu
- Orodha ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kulingana na maendeleo ya binadamu.
Napendekeza maneno ya italiki yawe ya namna moja. Asante na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:05, 12 Aprili 2025 (UTC)
- Nadhania Kwa kiashiria cha maendeleo ya binadamu is better, ama? AguahrzChronist2.0(Mtumiaji) 13:39, 12 Aprili 2025 (UTC)
- Sawa, lakini angalia pia herufi kubwa na ndogo zifanane. Asante. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:20, 12 Aprili 2025 (UTC)
- Would you move them, I'm likely to make a mistake in capitalization. AguahrzChronist2.0(Mtumiaji) 14:26, 12 Aprili 2025 (UTC)
- Would you move them, I'm likely to make a mistake in capitalization.
- Sawa, lakini angalia pia herufi kubwa na ndogo zifanane. Asante. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:20, 12 Aprili 2025 (UTC)