Majadiliano ya jamii:Muziki ya Afrika

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sasa jamani nimehamisha yote hapa badala ya "Muziki wa Afrika" pia "Muziki wa Tanzania" - ispokuwa baada ya kufanya najiuliza kama nimekosa? Kwa sababu kamusi ya TUKI kweli inasema "muziki wa...". Ajabu. Naomba ushauri na kama nimekosa - samahani!--Kipala (majadiliano) 10:30, 13 Septemba 2008 (UTC)[jibu]

Labda "MUZIKI WA AFRIKA" ilikuwa sahihi zaidi!