Majadiliano ya jamii:Mitishamba

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mitishamba - miti ya matunda[hariri chanzo]

Ninashangaa kidogo huhusu jamii hii. Sijaangalia yote lakini ninahisi ni zaidi miti ya matu nda mabayo si "mitishamba" - yaani dawa la kienyeji kutokana na mimea. Kipala (majadiliano) 13:06, 11 Februari 2012 (UTC)[jibu]

Ndiyo, uko sahihi. Sikufikiria vizuri. Nikikuta jamii hii, niliangalia ndani yake nikaona miti ya matunda. Kwa hivyo nimeongeza miti ya matunda mingine. Lakini kweli, “mitishamba” ni dawa litokalo shambani au msituni. Nimeondoa miti ya matunda. ChriKo (majadiliano) 21:27, 11 Februari 2012 (UTC)[jibu]