Majadiliano ya jamii:Magonjwa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

tafadhali naomba ushauri kwa mtu yeyote au daktari anisaidie tatizo langu.mimi ni mwanaume na umri wangu miaka 38.nina tatizo la kuumwa na korodani yangu ya kushoto nusu saa baada ya kujisaidia haja kubwa.tatizo hili nina kama miezi miwili,linakuja na kutoka.naomba ushauri au tiba yake ni nini. asante YVONE