Majadiliano ya jamii:Fisikia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tumepata jinsi mbili za kuandika neno la Kiingereza la "physics", yaani 'fisikia' (kama katika 'Category' hii) na 'fizikia' (kama katika makala ya Fizikia). Kwa vile kamusi ya TUKI inasema 'fizikia' nami ningeshauri tuchukue hiyo na kubadilisha uandishi wa 'fisikia'. Tungeweza kuweka 'Redirect' kwa hizo makala zitakazobadilishwa. Asiyekubali aniambie. Asante! --Oliver Stegen 14:52, 10 Oktoba 2006 (UTC)

Sawa kabisa !--Kipala 16:23, 10 Oktoba 2006 (UTC)