Majadiliano ya Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makumira ni kijiji kidogo kilichoko katika Mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania. Kiko karibuna Mlima Meru ambao ni mlima wa tano kwa ukubwa barani Afrika.

Kijiji cna Makumira kiko umbali wa karibu kilomita 16 kutoka Arusha mjini. Kijiji hicho kinapakana na vijiji vya Tengeru na Usa River.

Kijiji hicho kimepata umashuhuri na kinazidi kukua kutokana na kuwa na tawi la Chuo Kikuu cha Tumaini cha Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

Kama yalivyo maeneo mengine ya Tanzania, dalala ndio usafiri mkubwa katika kijiji hicho.