Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya Wikipedia:Kutotisha bali kukaribisha wageni kwenye Wikipedia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maelezo mazuri sana, lakini je, hapa ni mahali pake? Pendekezo: Naonelea bora kuhamisha ukurasa na kuupeleka katika: "Wikipedia:Kutotisha bali kukaribisha wageni kwenye wikipedia inaanzishwa".. Ambapo itasoma kama viungo vingine vya Wikipedia ambavyo havipo katika "mainspace". Hapa hii inajihesabu kama makala. Tafakari, chukua hatua!--MwanaharakatiLonga 17:44, 26 Oktoba 2013 (UTC) [jibu]

Hatimaye, imehamishwa ilivyotakiwa. --Baba Tabita (majadiliano) 05:39, 8 Novemba 2015 (UTC)[jibu]