Majadiliano ya Wikipedia:Featured articles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Waungwana nimeona ya kwamba ni afadhali tuwe tunachaguwa makala za kuzipa kiwango cha ubora. Karibuni Wikipedia zote zina mfumo huu wa kuchagua makala bora. Nimechagua makala kadhaa, lakini naona ya kwamba si vyema kufanya maamuzi peke yangu ilhali kuna wengi na tunaweza kukubaliana makala ipi tuichague. Jamani, ni ombi na nimeona ni muhimu kuliwakilisha kwenu. Hongera Kipala, makala zako nyingi ni "bora" na zina stahili kupewa hadhi ya "featured articles". Tafadhalini.--MwanaharakatiLonga 12:05, 4 Juni 2010 (UTC)