Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya MediaWiki:Edittools

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Salam! Nimeongoza nakurudisha ukurasa huu kwa sababu zifuatazo:

  1. Ilikuwa vigumu sana kwa mtu kuweka kitu kama {{DEFAULTSORT}} katika makala, hivyo mara nyingi ilifanywa na Oliver. Lakini kwa kodi za kuwezesha DEFAULTSORT kuonekana kiurahisi, itafanya kila mmoja kuweka DEFAULTSORT katika makala.
  1. Kuweka CATEGORY, vilevile nilishaanza kuchoka kuandika kwa mkono, wakati wenzetu wengi hawafanyi hivyo. Pia na kupata vitufe muhimu kabisa kama vile,

<s></s> <u></u> <sup></sup> <sub></sub> <tt></tt> <code></code>   [[Category:]] [[:Image:]] [[Media:]] {{DEFAULTSORT:}} #REDIRECT [[]] <gallery></gallery> <nowiki> </nowiki>

Na vingine vingi, ambavyo vitafuata hapo baadaye pale m:User:Spacebirdy ataponipatia kodi za ziada! Ikiwa inaonekana nimefanya vibaya basi uondoshwe huu mfumo. Wenu katika ujenzi wa WIKIPEDIA hii,--Mwanaharakati (majadiliano) 10:14, 1 Septemba 2008 (UTC)Reply