Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Yusuph Kileo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 8 iliyopita by Muddyb in topic Fomati

Fomati

[hariri chanzo]

Ndugu @Jonny Frosty, rejea makala husika. Inakosa mwaka wa kuzaliwa. Kitu ambacho ni muhimu sana kwa makala za Wikipedia... Kadhalika, uzoefu mkubwa... kiaje? Kufanya kazi kampuni moja ndiyo uzoefu mkubwa? Nilitegemea kuona kampuni sita saba au nane hivi... Amezunguka Afrika na Ulaya akifanya kazi. Ama? Ipunguzwe tone za promosheni angalau ibaki kiensaiklopia! MuddybLonga 07:52, 14 Mei 2025 (UTC)Reply