Majadiliano:Yesu Kristo.

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yesu (kwa Kiebrania יֵשׁוּעַ) alikuwa Myahudi mwanamume aliyeishi miaka 2000 hivi iliyopita (labda 6 KK - 30 B.K.).

Kutokana na umuhimu wake katika historia

Faili:Jesus
Jesus
ya binadamu, kwa kawaida miaka yote inahesabiwa kuanzia ujio wake (ulivyokadiriwa na Denis Mdogo kimakosa katika karne ya 6).

Mbali ya hayo, zaidi ya nusu ya wanadamu wote wanamuamini kuwa Mwana wa Mungu (wanaoitwa Wakristo) au walau nabii (hasa Waislamu).