Majadiliano:Yericko Y. Nyerere

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala ya ajabu; mkusanyiko wa viungo mabavyo havisemi kitu, haieleweki kiungo gani inataka kuonyesha nini, isipokuwa taarifa ya gazeti yenye habari ambazo haionekani kwenye makala. iandikwe upya kabisa au kufutwa. Sijui, ni makala ya mwenyewe? Nikiona hati binafsi za chuo? Kipala (majadiliano) 23:00, 6 Septemba 2021 (UTC)[jibu]

Makala ni mbaya ifutwe. Czeus25 Masele (majadiliano) 09:00, 7 Septemba 2021 (UTC)[jibu]