Majadiliano:Wilaya ya Korogwe Mjini
Weka madaKwa nini wilaya KORONGWE inkabiliwa na tatizo la maji?., lakini hakuna madhubuti za kuonyesha kutatua tatizo hili huku mji ukiwashangaza wengi kwa kusikia eti nao unashida ya maji hali ya kuwa kuna mto pangani unakatiza pembeni tu kama si katikakati ya mji huu....!na cha ajabu kila DC anayeteuliwa kwa aina yake huliongelea jambo hili lakini huishia kwenye maandishi na majukwaa siasa tu na walipa kodi wa mji huu wakiishia kuteseka .Na chakushangaza eti mji ambao ni jimbo la uchaguzi ambalo ni dogo kuliko yote TANZANIA lina mbunge ambae hajawahi kusikika katika vikao vya bunge akilizungumzia jambo hili badala anaonekana akiwa amemela tu ndani ya ukumbi.
Enyi viongozi wetu wa wilaya wale kuchaguliwa na wa kuteuliwa nachelea kuawita watukufu viongozi kwa hili lininapa hofu ikiwa maeneo ya kuchimba visima vidogo vidogo yamejaa kama vile Masuguru,Kwasamangube,Kwa mkole na mengineyo likini bado maji ni gumzo hapa kwetu wanduguuuuu.............. ni aibu isiyo kifani kwa hili naomba mchukue maamuzi magumu ya kulishughulikia hili vinginevyo jiwajibisheni wenyewe kwa wananchi kuanzia DC Mrisho Gambo pamoja na mayor wako kwani nyie mnasauti na mamlaka ya kiutawala
Start a discussion about Wilaya ya Korogwe Mjini
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. You can use this page to start a discussion with others about how to improve Wilaya ya Korogwe Mjini.