Majadiliano:Wilaya ya Igunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wilaya ya igunga ni moja ya wilaya iliyopo mkoa wa tabora na sasa imekua mamlaka ya mji mdogo ,kiufupi ni wilaya iliyopitiwa na lift valley ,pia ni wilaya nchini tanzania inayokua kwa kasi baada ya miaka mitano inaweza ikawa inahadhi ya manispaa.

(matini iliyowekwa na mtumiaji  ‎41.222.179.141 badala ya matini ya makala yenyewe, nimeihamisha hapa maana aliandika kwa nia njema lakini nje ya utaratibu) Kipala (majadiliano) 07:06, 30 Julai 2016 (UTC)[reply]