Majadiliano:Wilaya ya Chamwino

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ikiwa kata ya Chamwino imekuwa wilaya, habari za makala zirekebishwe. La sivyo, makala hiyo ya "Wilaya ya Chamwino" irejelee makala ya "Chamwino". --Baba Tabita (majadiliano) 15:24, 27 Agosti 2013 (UTC)[jibu]