Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Wanyama wa nyumbani

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kugawa makala

[hariri chanzo]

Makala jinsi ilivyo inajadili wanyama wote wanaofugwa. Ila tu "mnyama wa nyumbani" kwangu ni zaidi mnyama kama vile mbwa. paka, ndege anayeishi ndani ya nyumba pamoja na wanaadamu. Mifugo ni kundi tofauti wanafugwa kwa matumizi ya kiuchumi. Napendekeza kugawa makala na kuwa na makala 2 yaani "Wanyama wa nyumbani" (pet) na "Wanyama wa kufugwa / Mifugo" (domesticated animals). Kipala (majadiliano) 07:40, 25 Julai 2018 (UTC)[jibu]

"Pet" inaweza kutafsiriwa pia kwa "mnyama-kipenzi". Unapendelea gani? ChriKo (majadiliano) 08:21, 25 Julai 2018 (UTC)[jibu]
Sijui. Je inaeleweka vile? Kipala (majadiliano) 19:39, 25 Julai 2018 (UTC)[jibu]
Mimi napendekeza "mifugo" na "wanyama wa nyumbani". Anmani kwenu! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:51, 26 Julai 2018 (UTC)[jibu]