Majadiliano:Wakabwa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

wakabwa wanapatikana pia katika kijiji cha kirumi, jamii ya wakabwa kwa wakati wa sasa imekuwa na mabadiliko ya kimtazamo,kitamaduni, hii inatokana na maingiliano ya kitamaduni na watu wa kabila zingine hapa Tanzania Kutokana na vijana kutembea na kusoma hadi elimu ya chuo kikuu kwa sasa japo si sana jamii hii ya wakabwa imeanza kupata mabadiliko ya kimtazamo kuhusu imani ya kurogwa kwa ujenzi wa nyumba bora.