Majadiliano:Waarabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

hivi waarabu wanatokana na uzao wa nani hasa?

Makala inahitaji masahihisho. Hasa habari juu ya asili hazilingani na utaalamu uliopo; maelezo haya ni ya kidini. Kipala (majadiliano) 20:41, 9 Julai 2018 (UTC)