Majadiliano:Utetezi wa Ukristo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Naomba ukurasa ubaki kwa sababu kuna mambo mengi ya pekee katika kutetea Kanisa Katoliki dhidi ya hoja mbalimbali ambazo hazihusu madhehebu mengine ya Ukristo. Nikipata nafasi nitaandika zaidi. Huu ubaki kama msingi. Asante. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:09, 8 Novemba 2014 (UTC)

Kama ni hivyo lazima kutofautisha hizo kurasa mbili. Zilivyo sasa ziko sawa katika maneno na hata picha. Utakapozitofautisha, nakubali kwamba zitaweza kubaki zote mbili. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 19:05, 8 Novemba 2014 (UTC)