Majadiliano:Ushetu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

kata ya ushetu[hariri chanzo]

hii ni kata iliopo katika halmashauri ya wilaya ya kahama mkoani shinyanga.kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 kata hii ilikuwa na watu 17538.jamii zinazoishi katika kata hii ni wasukuma na wanyamwezi.