Majadiliano:Uranus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

What resources did you use to find the translation of this planet's name? --Mjanja 22 Aprili 2011

Ni jina la kimataifa; jinsi ilivyo na sayari za nje hakuna majina ya Kiswahili chenyewe. Je wewe umekuta jina ? Kipala (majadiliano) 20:52, 22 Aprili 2011 (UTC)
Jina la sayari hiyo lisitafsiriwe. Kamusi ya TUKI haifanyi hivyo. Kwa majina ya sayari kwa kawaida Kiswahili hutumia jina la Kiarabu, ila Uranus imechelewa kugunduliwa jinsi hata Kiarabu kinaitaja kama Uranus. Ukigundua jina lingine kwa Uranus, karibu kuiweka kama "#redirect". Makala hii lakini ibaki kama makala kuu. Asante, --Baba Tabita (majadiliano) 12:07, 23 Aprili 2011 (UTC)