Majadiliano:Urani

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Unururifu[hariri chanzo]

Naona Riccardo alibadilisha sentensi "Urani ni metali nururifu" kuwa "Uranium ni dhaifu kwa mionzi" ambayo sielewi. Kuna sababu ya kuibadilisha? Naona ya kwamba siku huzi istilahi ya kivumishi si tena "nururifu" (ilhali nomino bado ni "Unururifu") baii sasa "nururishi". Ila dhaifu kwa maonzi masikioni yangu ni kinyume cha nururishi.

Nashindwa pia kuelewa sehemu "maisha ya kudumu kwa kemikali hiyo ni nusu". Je hii ni ushauri wa walimu wa fizikia au maana yake ni nini? Kufuatana na KAST kuna istilahi "nusumaish" iayotumiwa pia katika makala mengine kadhaa. Kipala (majadiliano) 10:02, 11 Machi 2019 (UTC)[jibu]

ːSijui ilikuwaje, ila mimi si mwanakemia. Kama nimeongeza maneno katika makala hiyo itakuwa nimeyatoa katika makala nyingine kwa kuwa napenda sana kuokoa michango ya watu. Kama si sawa, rekebisha tu. Pole kwa usumbufu na amani kwakoǃ --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:14, 11 Machi 2019 (UTC)[jibu]

ːːNdiyo, niliunganisha Urani na Uranium iliyokuwepo kabla ya kui-redirect. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:18, 11 Machi 2019 (UTC)[jibu]

Asante, nimeelewa, hii ilikuwa asili. Kipala (majadiliano) 11:34, 11 Machi 2019 (UTC)[jibu]