Majadiliano:Uongezekaji Wa Joto Ulimwenguni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Napendekeza kufuta makala hii. Utafsiri ni mbaya, kuipanga upya ni kazi kubwa mno, na kichwa kipo tayari (kupanda kwa halijoto duniani). Au yupo anayetaka kufanya kazi hii?? --Kipala (majadiliano) 08:19, 27 Mei 2010 (UTC)