Majadiliano:Uhuru wa nafsi
Mandhari
Uhuru wa nafsi si "free-will" (mimi ningetafsiri "hiari"), hali bora upande wa saikolojia. Viungo kwa wiki nyingine vilivyotumika hapa vinahusu zaidi hiyo hiari, ingawa juzijuzi ukurasa wenye jina hilo umeanzisha kwa maana ya "chaguo". Naomba tushauriane. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 04:42, 19 Septemba 2010 (UTC)