Majadiliano:Uhuru Peak (Pamir)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je jina hili Uhuru limepatikana wapi? Nisipokosei kuna mlima 1 tu mwenye mita 7134 katika Pamir. Huu ni en:Lenin Peak au jinsi walivyoanza kuuita baada ya ukomunisti, Ina Sina / Avicenna Peak. Je kuna sababu ya kutohamisha kwenda majina haya? Kipala (majadiliano) 19:39, 18 Oktoba 2019 (UTC)[jibu]

Hakuna. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:29, 19 Oktoba 2019 (UTC)[jibu]