Majadiliano:Uhandisi wa kiraia
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 2 iliyopita by Unja1234 in topic Kuhamisha makala
Kuhamisha makala
[hariri chanzo]Ninapendekeza kuwa makala haya yahamishwe, yawekwe katika ukurasa utakaoitwa Uhandisi wa Kiraia. Naona kama aliyeandika alikusudia kuandika kuhusu civil engineering. Majengo ni sehemu moja tu ya civil engineering Unja1234 (majadiliano) 08:20, 22 Agosti 2025 (UTC)