Majadiliano:Pumu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ugonjwa wa mapafu?[hariri chanzo]

Tafadhali, mmepata tafsiri hiyo ya "asthma" wapi? Maana ya ugonjwa wa mapafu ni "lung disease" tu. Ukimaanisha ugonjwa mahususi afadhali ni "bronchitis". Tafsiri sahihi ya "asthma" ni pumu. Ni bora kuhamisha makala hii. ChriKo (majadiliano) 21:51, 15 Agosti 2015 (UTC)[jibu]

Hata mimi najua asthma ni pumu.. Nashangaa jina hili! Badilisha tu, ndugu ChriKo..--MwanaharakatiLonga 05:06, 17 Agosti 2015 (UTC)[jibu]