Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Uga sumaku ya Dunia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Uga wa sumaku

Uga wa sumaku

[hariri chanzo]

Tafadhali tuelewane kuhusu ngeli ya uga. Kamusi ya Kiswahili Sanifu (³) inapanga istilahi hii hivyo: "uga /uga/ nm (nyuga) [u-/zi-] taz. uwanja". Sasa ni uga wa sumaki, si uga ya sumaku nikielewa vema. Tuko pamoja?Kipala (majadiliano) 10:33, 30 Desemba 2019 (UTC)Reply