Majadiliano:Ufahamu wa uwezo wa kushika mimba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

mimba inapatikanaje ili nijue .

Kuna tendo linaloitwa ngono... Kipala (majadiliano) 09:52, 12 Juni 2014 (UTC)

Lemma ??[hariri chanzo]

Naona lemma au jina la makala ni ngumu sana. Nikilinganisha makala husika kwa lugha nyingine kuna njia rahisi zaidi ya kusema. Natafakari bado kakini heri tuhamishe.

  • Usimamizi wa kushika mimba kwa kujua siku za utungaji mimba
  • Kujua siku za utungaji mimba
  • Kusimamia mimba kwa kutumia siku za utungaji mimba
  • Kupanga uzazi kwa kutumia siku za utungaji mimba

Wenzangu mnaonaje? Kipala (majadiliano) 09:52, 12 Juni 2014 (UTC)