Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Ualimu wa kanisa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Ualimu)
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala in topic Jina la makala

Jina la makala

[hariri chanzo]

Naomba jina la makala iangaliwe upya. Makala inahusu ualimu kama utaratibu katika kanisa la kikristo hasa kanisa katoliki. Neno "ualimu" lenyewe linamaanisha zaidi kazi ya mwalimu wa shule yeyote kama huyu ni Mkristo au Mwislamu au hana dini. --Kipala (majadiliano) 19:03, 27 Machi 2008 (UTC)Reply